Bw. Milton Mailos Lupa
Afisa Mtendaji Mkuu
Wasifu
Mhe. Hussein Bashe Waziri wa Kilimo
Mhe. Antony Mavunde Naibu Waziri wa Kilimo
Timu ya ushindi ya watumishi wa NFRA wakiwa na vikombe vya ushindi walivyozawadiwa wakati wa maonesho ya siku ya chakula Duniani Kilimanjaro 2021
Mkurugenzi wa Masoko-NFRA akiwa amebeba Kombe na ngao ya ushindi na cheti cha ushiriki katika kilele cha maonesho ya siku ya chakula Duniani kitaifa Mkoa wa Kilimanjaro 2021
Kutoka kushoto ni mkurugenzi wa utawala na rasilimali watu wizara ya kilimo Bi. Hilda kinanga, Mkurugenzi wa Masoko NFRA Bw. Mikalu Mapunda na Afisa Utawala Bw.Mbaraka wakiwa katika Picha ya pamoja na vikombe vya Ushindi walivyoshinda NFRA katika maadhimi
Timu ya Mpira wa Pete ya Wakala Wa Taifa Wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ikiwa katika ukaguzi kabla ya mechi dhidi ya Timu ya Wizara ya Ardhi katika michezo ya SHIMIWI mkoani Morogoro
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri-NFRA wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Menejimenti ya Wakala katika kikao kilichofanyika Tarehe 19-20 Agosti 2021 katika Ukumbi wa Mikutano NFRA Makao Makuu
Rasmi, uzinduzi wa soko la ununuzi wa mahindi ukifunguliwa Mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brig. Jenerali Wilbert Augustine Ibuge na Meneja wa NFRA Kanda ya Songea Ndg. Ramadhani Nondo
Wakulima mbalimbali waliojitokeza katika ufunguzi wa soko la mahindi katika kituo cha Mgazini, Songea Vijijini.
Meneja Uhifadhi NFRA Makao Makuu Ndg. Mnadi Taribo, akitoa mafunzo juu ya vigezo vya Ubora wa mahindi kwa wakulima waliojitokeza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma na Meneja wa NFRA Kanda ya Songea, katika ufunguzi wa soko la ununuzi wa mahindi.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brig. Jenerali Wilbert Augustine Ibuge (wa pili kushoto), Meneja wa NFRA Kanda ya Songea Ndg. Ramadhani Nondo (wanne kutoka kushoto) Pamoja na viongozi wengine wa Mkoa wa Ruvuma akitoa maelekezo mbalimbali katika ufunguzi wa soko l
Wadau waliojadili Mpango Mkakati wa Wakala Jijini Dodoma
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma Saidizi Ndg. Mohamed Ally kwaniaba ya Afisa Mtendaji Mkuu akifungua kikao cha wadau cha kujadili Mpango Mkakati wa Wakala.
Mfano wa picha ya mradi (Prototype) wa kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka
Watumishi wa NFRA wakiwa katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika, Wilaya ya Babati – Manyara
Watumishi wa NFRA wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika, Wilaya ya Babati – Manyara.
Muonekano wa eneo la mradi wa kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka Babati- Manyara
Magari ya mizigo yakipatiwa huduma ya kupima uzito katika moja ya mizani za Wakala
Afisa Mtendaji Mkuu wa NFRA akiwakaribisha wajumbe wa kikao cha 37 cha bodi ya ushauri kilichofanyika katika eneo la mradi wa vihenge vya kisasa Babati, Manyara
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (aliyeketi katikati) akiwa na Menejimenti ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) baada ya kufunga kikao cha 39 cha Bodi kilichofanyika katika Ukumbi wa mikutano, NFRA Makao Makuu Dodoma.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (aliyeketi katikati) akiwa na Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) baada ya kufunga kikao cha 39 cha Bodi kilichofanyika katika Ukumbi wa mikutano, NFRA Makao Makuu Dodoma.
Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akiongea na Wajumbe wa Bodi ya Ushauri na Menejimenti ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula.
Waziri wa Kilimo akitoa ufafanuzi kwa Waandishi wa Habari kuhusu kupatiwa suluhu kwa vikwazo mbalimbali vilivyojitokeza katika biashara ya nafaka mipakani.
Karibu kwenye Tovuti ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA, Dhana ya usalama wa chakula nchini ni dhana muhimu ambayo imekuwepo tangu enzi za ukoloni ambapo kufuatia majanga mbalimbali kama vile ukame, mafuriko, nk. Soma zaidi
NFRA imeendesha mafunzo kwa watumishi wake wa ubora ili kuwaongezea uwezo wa kudhibithi ubora wa chakula kinachohifadhiwa na Wakala....
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, Amefunga kikao cha Bodi ya ushauri ya NFRA huku akisisitiza utafutaji wa Masoko ya mazao ya wakulima...
Afisa Mtendaji Mkuu NFRA akagua mradi wa kuongeza uwezo wa Uhifadhi nafaka unaoendelea kujengwa nje kidogo ya Mji wa Babati Mkoani Manyala ambayo ipo chini ya Kanda ya uhifadhi ya Arusha....
KAMATI YA PAC YAKAGUA UJENZI WA MRADI WA KUONGEZA UWEZO WA KUHIFADHI NAFAKA UNAOJENGWA NA NFRA...
“Kwa mchango huu wa milioni 500 wa NFRA, umeonyesha kuwa si Taasisi ya kupoteza fedha za Serikali” – Waziri Mpango...
Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula uliingia mkataba wa kuuza tani 17,000 za mahindi na Serikali ya Zimbabwe tarehe 02 Septemba, 2019............
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akikagua Banda la Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakati akikagua maandalizi ya Maadhimisho ya 27 ya sikukuu ya wakulima maarufu kama (Nane Nane) yatakayofanyika kuanzia tarehe 1-8 Agosti 2019 Katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu....
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) na Mwakilishi Mkazi wa Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw Michael Dunford wakiwasha soketi ya mtambo wa kusafisha nafaka ikiwa ni ishara ya uzinduzi katika hafla iliyofanyika makao makuu ya NFRA, Jijini Dodoma...
Mkuu wa kitengo cha usafirishaji Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Ndg Mahamood Mabuyu akizungumza na vyombo vya habari kuelezea hatua za usafirishaji wa mahindi iliyoyanunua kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA kupeleka nchini Uganda...
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akizungumza na wananchi katika kijiji na Kata ya wasa wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo Mkoani Songwe...
Wajumbe wa Bodi ya ushauri ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakikagua eneo la Mradi wa ujenzi wa Maghala na Vihenge vya kisasa Mkoani Manyara unaojengwa na kampuni ya Unia Araj Realizacje Sp.o.o) chini ya msimamizi wa utekelezaji wa mradi huo ambaye ni Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)....
Kikao kazi cha Bodi ya Ushauri NFRA chatuama Jijini Dodoma...
Uzinduzi wa Ujenzi wa Magala na Vihenge