Maafisa kutoa Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakitembelea Mradi wa kuongeza uwezo wa kuhifadhi Kanda ya Babati - Manyara huku wakipatiwa maelezo ya majukumu mbalimbali ya Wakala kwa Wakurugenzi