Uzinduzi wa Ujenzi wa Magala na Vihenge

Mahali

Eneo la Viwanda Kizota Dodoma

Tarehe

2018-04-21 - 2018-04-21

Muda

04:00 - 13:000

Madhumuni

Uzinduzi

Event Contents

Uzinduzi wa ujenzi wa Vihenge na Maghala ya kisasa utakaofanywa na MH. Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa yenye uwezo wa kuhifadhi Tani 250,000 hivyo kufanya Wakala kuwa na uwezo wa Kuhifadhi Tani 501,000

Washiriki

Wananchi wote Mnakalibishwa

Ada ya Tukio

Bure