Habari

TANIPAC YAKABIDHI MAGHALA 12 KWA NFRA

TANIPAC YAKABIDHI MAGHALA 12 KWA NFRA
Jan, 16 2024

Mkurugenzi wa Mafunzo wa Wizara ya Kilimo Dkt. Wilheum Mafuru, akimkabidhi Meneja wa Usimamizi wa Milki na Uwekeza wa NFRA Mhandisi Iman Nzobonaliba funguo za ghala na kitabu cha Mwongozo wa usimamizi wa maghala ya Mradi wa kudhibiti Sumukuvu-TANIPAC, ikiwa ni mwendelezo wa zoezi la kukabidhi Maghala hayo ya TANIPAC Kwa NFRA. Ghala hilo liko katika Kijiji cha Busondo, Wilayani Nzega, Mkoa wa Tabora.