Makatazo

Hakuna madai yatakayotolewa kuhusu usahihi au uhalali wa maudhui ya tovuti hii. Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula hautakubali dhima yoyote kwa mtu yeyoye kwa taarifa au ushauri unaotolewa kwenye tovuti hii au kushirikishwa kwenye tovuti hii kwa marejeo.

Haishirikishwi au kuhusishwa na mmiliki au mwendeshaji wa tovuti ya mtumiaji wa tatu; na

Kama una maswali yoyote kuhusu maudhui yaliyomo kwenye tovuti ya NFRA, tafadhali wasiliana nasi.