NFRA Yaendesha mafunzo kwa Watumishi wake wa Ubora
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe Afunga kikao cha Bodi ya Ushauri ya NFRA
Afisa Mtendaji Mkuu NFRA akagua mradi wa kuongeza uwezo wa Uhifadhi
Uzinduzi wa Ujenzi wa Magala na Vihenge
NFRA imeendesha mafunzo kwa watumishi wake wa ubora ili kuwaongezea uwezo wa kudhibithi ubora wa chakula kinachohifadhiwa na Wakala. Soma zaidi
Imewekwa: May 21, 2021
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, Amefunga kikao cha Bodi ya ushauri ya NFRA huku akisisitiza utafutaji wa Masoko ya mazao ya wakulima Soma zaidi
Afisa Mtendaji Mkuu NFRA akagua mradi wa kuongeza uwezo wa Uhifadhi nafaka unaoendelea kujengwa nje kidogo ya Mji wa Babati Mkoani Manyala ambayo ipo chini ya Kanda ya uhifadhi ya Arusha. Soma zaidi
KAMATI YA PAC YAKAGUA UJENZI WA MRADI WA KUONGEZA UWEZO WA KUHIFADHI NAFAKA UNAOJENGWA NA NFRA Soma zaidi
Imewekwa: Jan 15, 2020
“Kwa mchango huu wa milioni 500 wa NFRA, umeonyesha kuwa si Taasisi ya kupoteza fedha za Serikali” – Waziri Mpango Soma zaidi
Imewekwa: Jan 09, 2020
Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula uliingia mkataba wa kuuza tani 17,000 za mahindi na Serikali ya Zimbabwe tarehe 02 Septemba, 2019......... Soma zaidi
Imewekwa: Dec 24, 2019