Dira, Dhima na Maadili ya Msingi


Dira

“ Kuwa Wakala wa kuaminika wenye uwezo wa kukabiliana na upungufu wa chakula kwa wakati ”.

Dhima

Kuhakikisha upatikanaji wa akiba ya chakula cha kimkakati wakati wa upungufu wa chakula kwa kununua, kuhifadhi, kuzungusha na kuuza chakula kwa ufanisi na kwa manufaa ya jamii.”

Maadili ya Msingi

  1. Ufanisi
  2. Kuaminika
  3. Uweledi
  4. Uadilifu
  5. Kumjali mteja
  6. Uwazi
  7. Uwajibikaji
  8. Ubunifu
  9. Kufanya kazi kwa pamoja