Habari

RAS; KIGOMA ATEMBELEA BANDA LA WAKALA NA KUTAKA ELIMU JUU YA UHIFADHI WA NAFAKA KUSAMBAZWA KWA WANANCHI

RAS; KIGOMA ATEMBELEA BANDA LA WAKALA NA KUTAKA ELIMU JUU YA UHIFADHI WA NAFAKA  KUSAMBAZWA KWA WANANCHI
Oct, 23 2023

Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Bw. Albert Msovela( katika) akipokea maelezo jinsi Miundombinu ya kisasa ya Vihenge inavyofanya kazi kutoka kwa Mtumishi wa NFRA Bi. Fatuma Ndauka, wakati wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani ambayo Kitaifa yanafanyika Mkoani Kigoma.

Bw. Msomela alipongeza juhudi za Wakala katika uhifadhi bora wa Chakula na alitoa rai kwa Wakala kuweka mkakati wa kusambaza elimu hiyo katika maeneo ya Mkoa wa Kigoma Ili Wananchi wafaidike zaidi na elimu ya uhifadhi bora kwa kupunguza upotevu wa mazao baada ya mavuno na kujihakikishia usalama wa chakula.