Habari

HONGERA NDUG. JOHN ULANGA

HONGERA NDUG. JOHN ULANGA
Aug, 13 2023

Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) unatoa pongezi sana kwako Ndug John Ulanga Kwa fursa ya nafasi uliyopewa tunakutakia majukumu mema katika uongozi wako mpya na sisi kama NFRA tunaendelea kushirikiana na wewe bega Kwa bega