Habari

NFRA YAJIPANGA KUONGEZA UHIFADHI WA CHAKULA NCHINI.

NFRA YAJIPANGA KUONGEZA UHIFADHI WA CHAKULA NCHINI.
May, 31 2023

Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula 9NFRA) kupitia mradi wa kuongeza uhifadhi kwa kutengeneza Vihenge vya kisasa na Maghara yenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi nafaka nyingi kwa mara moja.

Vihenga hivyo vya kisasa na Maghala yana uwezo wa kuhifadhi Chakula Cha tani 40,000.

Ikiwa vihenga tani 25,000 na Maghala tani 15,000, Vihenga hivi vipo Babati – Manyara, Kanondo – Sumbawanga pamoja na Mpanda – KataviMkoani Manyara Wilayani Babati, kata ya Maisaka Makatanini,