Habari

NFRA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA UHIFADHI WA NAFAKA KWA WAKULIMA

NFRA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA UHIFADHI WA NAFAKA KWA WAKULIMA
Aug, 13 2023

Kikundi cha Wakulima wadogo kutoka Wilaya ya Momba Mkoani Songwe wakipata elimu ya uhifadhi pamoja na kufahamu kazi mbalimbali za Wakala katika Maonesho ya Wakulima Nane Nane yanayofanyika Kitaifa Mkoani Mbeya.