Habari

KATIBU MKUU KIONGOZI AFURAHISHWA NA JUHUDI ZA NFRA KWENYE SUALA LA KUPAMBANA NA UHABA WA CHAKULA NCHINI

KATIBU MKUU KIONGOZI AFURAHISHWA NA JUHUDI ZA NFRA KWENYE SUALA LA KUPAMBANA NA UHABA WA CHAKULA NCHINI
Aug, 13 2023

Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka akipewa maelezo na Afisa Mtendaji Mkuu wa NFRA, CPA Milton Lupa kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wakala unaoendelea katika kanda mbalimbali Nchini.

Katibu Mkuu Kiongozi alipata maelezo hayo alipotembelea Viwanja vya Maonesho ya Wakulima Nane Nane yanayofanyika Kitaifa Mkoani Mbeya na kutembelea Banda la Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA)