Habari

Afisa Mtendaji Mkuu NFRA akagua mradi wa kuongeza uwezo wa Uhifadhi

Afisa Mtendaji Mkuu NFRA akagua mradi wa kuongeza uwezo wa Uhifadhi
May, 21 2021

Afisa Mtendaji Mkuu NFRA akagua mradi wa kuongeza uwezo wa Uhifadhi chakula unaoendelea kujengwa nje kidogo ya Mji wa Babati Mkoani Manyala ambayo ipo chini ya Kanda ya uhifadhi ya Arusha.

Afisa mtendaji amelidhishwa na maendeleo ya ujenzi wa mradi huo ambao unategemewa kukabidhiwa kwa Wakala hivi karibuni. Katika eneo hilo la Babati, jumla ya maghala mawili na vihenge sita vinajengwa ambavyo vitakuwa na uweza wa kuhifadhi Tani 40,000 vitakapo kamilika.