NFRA YAINGIA MAKUBALIANO NA SMZ -ZANZIBAR KATIKA MAUZO YA NAFAKA
TANIPAC YAKABIDHI MAGHALA 12 KWA NFRA
NFRA YAPATIWA MAGHALA KUONGEZA UWEZO WA UHIFADHI WA NAFAKA
Uzinduzi wa Ujenzi wa Magala na Vihenge
KAMATI YA PAC YAKAGUA UJENZI WA MRADI WA KUONGEZA UWEZO WA KUHIFADHI NAFAKA UNAOJENGWA NA NFRA Soma zaidi
Imewekwa: Jan 15, 2020
Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula uliingia mkataba wa kuuza tani 17,000 za mahindi na Serikali ya Zimbabwe tarehe 02 Septemba, 2019......... Soma zaidi
Imewekwa: Dec 24, 2019
Mkuu wa kitengo cha usafirishaji Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Ndg Mahamood Mabuyu akizungumza na vyombo vya habari kuelezea hatua za usafirishaji wa mahindi iliyoyanunua kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA kupeleka nchini Uganda Soma zaidi
Imewekwa: Mar 10, 2019
Wajumbe wa Bodi ya ushauri ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakikagua eneo la Mradi wa ujenzi wa Maghala na Vihenge vya kisasa Mkoani Manyara unaojengwa na kampuni ya Unia Araj Realizacje Sp.o.o) chini ya msimamizi wa utekelezaji wa mradi huo ambaye ni Wakala wa Majengo Tanzania (TBA). Soma zaidi
Imewekwa: Feb 01, 2019
Kikao kazi cha Bodi ya Ushauri NFRA chatuama Jijini Dodoma Soma zaidi
Imewekwa: Jan 29, 2019
Maafisa ugani katika ngazi zote za utendaji wametakiwa kuwa na mashamba ya mfano ili kuwasaidia wakulima kwa nadharia kupitia mashamba yao jambo litakalopelekea wakulima kufikia uzalishaji wenye tija na kuimarisha kipato chao ikiwa ni pamoja na kukuza uchumi wa nchi. Soma zaidi
Imewekwa: Jul 18, 2018