Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wametoa wito Kwa wakulima hususani katika kipindi hiki Cha mavuno KujiFunnza Mbinu za Kisasa za uhifadhi wa Nafaka baada ya kuvuna.
Tembelea Banda lao lililopo katika Tent la Katavi katika maonesho ya 77 kuweza kupata elimu hiyo pamoja na kufahamu namna ya kupata soko Bora la uuzaji wa Nafaka zako pamoja na fursa zinazotolewa na NFRA.
Aidha NFRA inaendelea kununua Nafaka za Wakulima katika Maeneo mbalimbali nchini Kwa bei elekezi iliyotolewa na Serikali yenyewe kumnufaisha Mkulima.