Habari

Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri ya NFRA Mhandisi Eustance Kangole akiongoza kikao kazi cha 33 cha Bodi hiyo Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri ya NFRA Mhandisi Eustance Kangole akiongoza kikao kazi cha 33 cha Bodi hiyo Jijini Dodoma
Jan, 29 2019

Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Mhandisi Eustance Kangole akiongoza kikao kazi cha 33 cha Bodi hiyo Jijini Dodoma chenye lengo la kujadili masuala muhimu ya Wakala ikiwemo utekelezaji wa mkataba wa mauzo ya mahindi Tani 36,000 kwa Shirika la Chakula Duniani (WFP) sambamba na kujadili maendeleo ya Mradi wa Vihenge na Maghala ya kisasa