Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweri akiwa( kulia) na Naibu Katibu Mkuu, Bw. Hussein Mohamed (kushoto) pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa NFRA CPA. Milton Lupa wakiteta jambo katika maonesho ya Wakulima Nane Nane yanayofanyika Kitaifa Mkoani Mbeya.