Wakala Wa Taifa Wa Hifadhi Ya Chakula

Matukio

29 May 2016

Maafisa ubora na watunza stoo watashiriki mafunzo ya kuwaweka tayari kwaajiri ya msimu unaokuja wa ununuzi wa chakula.

Habari

Baraza la Wafanyakazi

Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Imezindua Baraza lake la pili la Wafanyakazi tarehe 6 Mei mjini Dodoma, Jumla ya wajumbe 67 wakiwakilisha wafanyakazi wa wakala pamoja na Menejimenti ya Wakala walihudhuria uzinduzi wa Baraza hilo

NFRA yatiliana saini ya kuiuzia Mamlaka ya Bonde la Ngorongoro mahindi kiasi cha Tani 3,600

Wakala wa Taifa Hifadhi ya Chakula (NFRA) hivi karibuni ulitiliana saini ya makubaliano ya kuiuzia Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Ngorongoro mahindi kiasi cha Tani 3,600 yenye thamani ya shilingi bilioni 20.

Wakala wa Taifa Hifadhi ya Chakula yatimiza agizo la Waziri wa Kilimo ndani ya Saa 72

Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Kanda ya Shinyanga jana ilitimiza agizo la Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Charles Tizeba, agizo la kuupa Mkoa wa Kagera kiasi cha mahindi tani 20 ili kusaidia Kaya kadhaa zinazokabil...

Wakulima katika Kanda ya Makambako waagizwa kuzingatia ubora na kuongeza thamani ya mazao yao

Wakulima katika Kanda ya Makambako waagizwa kuzingatia ubora na kuongeza thamani ya mazao yao

Copyright © National Food Reserve Agency 2014. All Rights Reserved