Wakala Wa Taifa Wa Hifadhi Ya Chakula

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu

Wadhifa

Mkurugenzi wa Utawala NFRA Ndugu Freddy Masele akikagua Ujenzi wa Ghala linalojengwa Wilayani Mbozi,  Mkurugenzi ameagiza Ghala hilo liwe limekamilika ifikapo tarehe 28/02/2017. Waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa akiwa na Kaimu Mtendaji Mkuu wa NFRA Bwana Deusdedit Mpazi akikagua Hifadhi ya Chakula kwenye Maghala yaliyopo Chang'ombe Dar es salaam hivi karibuni. Kaimu mtendaji Mkuu akitiliana saini mkataba wa ujenzi wa Vihenge na wawakilishi wa kampuni ya Araj kutoka Poland hivi karibuni mjini Dodoma Bodi mpya ya ushauri ya Wizara iliyozinduliwa hivi karibuni na Katibu Mkuu wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi anayeshughurikia Kilimo Meneja wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Kanda ya Makambako Bwana Bright Mollel akionyesha sehemu ambayo ujenzi wa ghala la chakula litakapojengwa huko Mbozi, Mkoani Songwe, wa pili kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara (NFRA, Ma Historia Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula  na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Ngorongoro wakitia saini mkataba wa kuuziana mahindi kwaajiri ya jamii ya kimasai inayopatikana kwenye hifadhi ya Ngorongoro.

Matukio

29 May 2016

Maafisa ubora na watunza stoo watashiriki mafunzo ya kuwaweka tayari kwaajiri ya msimu unaokuja wa ununuzi wa chakula.

Copyright © National Food Reserve Agency 2014. All Rights Reserved